OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ushawahi mrembo utaki kupitwa na ya chadema. Usisikie chadema ikitajwa humu, ukai chini.Uko shindeni, ila huku majimboni kura hatuwapi
Uko shindeni, ila huku majimboni kura hatuwapi
Kura milion 7 unusu dhidi ya kura milioni 5 kasoro huko ni kuvurunda ?Kinachotakiwa ni kumwajibisha Mbowe kutokana na chama kuvurunda kwenye uchaguzi mkuu na siyo kutuletea hizi sarakasi za tuzo uchwara .
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Uko shindeni, ila huku majimboni kura hatuwapi
BASHITE umenyimwa akili ya kuelewa kua CHADEMA tukimwajibisha Mbowe, itafanya vizuri chaguzi na kukwamisha maendeleo.Kinachotakiwa ni kumwajibisha Mbowe kutokana na chama kuvurunda kwenye uchaguzi mkuu na siyo kutuletea hizi sarakasi za tuzo uchwara .
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Kuambulia mbunge mmoja Aida Khenan?Kura milion 7 unusu dhidi ya kura milioni 5 kasoro huko ni kuvurunda ?
Kinachotakiwa ni kumwajibisha Mbowe kutokana na chama kuvurunda kwenye uchaguzi mkuu na siyo kutuletea hizi sarakasi za tuzo uchwara .
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Ukikua utaacha yote unayoyafikria rafiki yangu.Kinachotakiwa ni kumwajibisha Mbowe kutokana na chama kuvurunda kwenye uchaguzi mkuu na siyo kutuletea hizi sarakasi za tuzo uchwara .
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Wanadhani hatuyajui matokeo halisi, ndiyo maana wanajifaragua.Kura milion 7 unusu dhidi ya kura milioni 5 kasoro huko ni kuvurunda ?
πππKwani ni jmbo gani CCM imeshinda,?litaje