Chama cha demokrasia na maendeleo kimeshindwa vibaya katika uchaguzi wa udiwani kati ya kati mjini Arusha.
Katika uchaguzi huo CCm ilipata ushindi mkubwa wa zaidi ya 68% uku CHADEMA ikiambulia 22%.CHADEMA ilitumia nguvu kubwa katika uchaguzi huo,mwenyekiti wa CHADEMA F Mbowe alitumia siku tatu za mwisho kumpigia debe mgombea wake Bwana Simba kitu ambacho kiliwashangaza wakazi wa jiji la Arusha hasa ikizingatiwa uchaguzi ulikuwa ni kata tu.

Lakini pia CCM ni mafisadi, nadhani ungetupa idadi ya waliopiga kura ikilinganishwa na waliojiandikisha ili tuweze ku-analyse vizuri zaid. Uzoefu ni kuwa CCM hununua shahada za wapiga kura hasa wanaodhaniwa kuwa wa upinzani iliidadi ya wapiga kura wa upinzani ipungue nao wachukue ushindi (rejea chaguzi za Tarime na Kiteto). Sina hakika Mbeya vijijini.
- Mkulu Ngongo, ahsante sana kwa hii habari, sasa ni wakati muafaka tujitayarishe na chaguzi nyingine na kuangalia tulipokosea ni wapi!.
Kaka inawezekana ushindi huu ni mtamu kwa CCM sasa lakini kama hizi taarifa kuwa LEMA amejiunga na CHADEMA ni wazi CHADEMA watashangilia ushindi mkubwa zaidi 2010.
Tukumbuke kuwa kiti hiki kilikuwa chini ya kijana machachari ambaye alitoka straight from Sokoine University na kuingia katika siasa kupitia TLP. TLP ambayo LEMA alikuwa mgombea wao kwa muda mrefu na akiwa na ufuasi mkubwa hapo. Hata hivyo huyu kijana MAWAZO ambaye alipata support kubwa ya Zitto wakati wa campaign aliamua kujitoa TLP na kuachia kiti kwa madai kuwa TLP hawako serious kitu ambacho kilikuwa na ukweli wake kiasi fulani. Hata hivyo nilisikia kuwa huyu kijana amejiunga na CCM.Hivyo ni wazi kuwa wapiga kura wa Arusha kati waliumizwa sana na uamuzi wake ambao waliona kuwa ni wa kisaliti lakini pia uliwavunja moyo wa kuwaamini WAPINZANI kwa ujumla.
Mkuu Tanzanianjema heshima mbele.
Naomba kukusahihisha kidogo,Godbless Lema hajawahi kusoma Sokoine University wala hana degree yoyote.Godbless Lema alifukuzwa na TLP mwaka jana kwa kufanikisha deal ya Mawazo kuhamia CCM.Viongozi wa CHADEMA wilaya Arusha wanajua Godbess Lema ni mzee wa kuvuta kitu kidogo ila waliamua kumdanganya mwenyekiti wao.

Mkuu Ngongo
Nadhani Tanzanianjema alikuwa anamaanisha huyo MAWAZO ndiye aliyesoma SUA, hebu jaribu kulipitia vizuri Bandiko la mkuu Tanzanianjema
Asante
Kaka inawezekana ushindi huu ni mtamu kwa CCM sasa lakini kama hizi taarifa kuwa LEMA amejiunga na CHADEMA ni wazi CHADEMA watashangilia ushindi mkubwa zaidi 2010.
Tukumbuke kuwa kiti hiki kilikuwa chini ya kijana machachari ambaye alitoka straight from Sokoine University na kuingia katika siasa kupitia TLP. TLP ambayo LEMA alikuwa mgombea wao kwa muda mrefu na akiwa na ufuasi mkubwa hapo. Hata hivyo huyu kijana MAWAZO ambaye alipata support kubwa ya Zitto wakati wa campaign aliamua kujitoa TLP na kuachia kiti kwa madai kuwa TLP hawako serious kitu ambacho kilikuwa na ukweli wake kiasi fulani. Hata hivyo nilisikia kuwa huyu kijana amejiunga na CCM.Hivyo ni wazi kuwa wapiga kura wa Arusha kati waliumizwa sana na uamuzi wake ambao waliona kuwa ni wa kisaliti lakini pia uliwavunja moyo wa kuwaamini WAPINZANI kwa ujumla.
Mkuu Tanzanianjema heshima mbele.
Naomba kukusahihisha kidogo,Godbless Lema hajawahi kusoma Sokoine University wala hana degree yoyote.Godbless Lema alifukuzwa na TLP mwaka jana kwa kufanikisha deal ya Mawazo kuhamia CCM.Viongozi wa CHADEMA wilaya Arusha wanajua Godbess Lema ni mzee wa kuvuta kitu kidogo ila waliamua kumdanganya mwenyekiti wao.
Nilikuwa naongelea kiti cha Arusha Kati nikiwa na maana na MAWAZO.
Kuhusu Lema hicho ndio kinanitatiza maana nilikuwa na taarifa za uhusika wake katika kumrubuni MAWAZO kujitoa TLP. Sikuwa na uhakika kama ni yeye aliyehusika kumpeleka CCM ingawa najua kuwa wakati huo hawa wawili walikuwa karibu sana
Tanzanianjema
Chama cha demokrasia na maendeleo kimeshindwa vibaya katika uchaguzi wa udiwani kati ya kati mjini Arusha.
Katika uchaguzi huo CCm ilipata ushindi mkubwa wa zaidi ya 68% uku CHADEMA ikiambulia 22%.CHADEMA ilitumia nguvu kubwa katika uchaguzi huo,mwenyekiti wa CHADEMA F Mbowe alitumia siku tatu za mwisho kumpigia debe mgombea wake Bwana Simba kitu ambacho kiliwashangaza wakazi wa jiji la Arusha hasa ikizingatiwa uchaguzi ulikuwa ni kata tu.
Ngongo
Mbona husemi chochote kuhusu haya? Hebu bonyeza hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/23485-ccm-yashindwa-vibaya.html
Asha
Sasa huko Mtwara ni makorodani ? Wacheni chuki binafsi ,CUF ipo na ni chama imara ambacho kinajulikana kimataifa na msione kama hawapo maana wakiwepo ni shangwe na vigelegele ila kama hawapo mnakuja na maneno ya ajabu ajabu.Huyo Lipumba atashaurika vipi wakati CUF ni ya Pemba tu? Lipumba na Seif ni vichwa ngumu na hawana maslahi yoyote kwa watanzania
Huo ndio ukweli mtupu, anayebisha na atoe sababu