johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ufipa wengi sana wataathirika watakubali kweli wewe huoni wanataka lockdown na kupewa chakulaNashauri watu wasiokuwa na ajira rasmi warudishwe mikoani, ili kupunguza msongamano wa watu
Hali mbaya sana iko Ulaya na Marekani bwashee!
Ulaya na marekani nao walianza kama DarHali mbaya sana iko Ulaya na Marekani bwashee!
Nashauri watu wasiokuwa na ajira rasmi warudishwe mikoani, ili kupunguza msongamano wa watu
Ni wazo zuri ila kama hakuna mpango wa kuwapima raia wote wa Dar ili wale wenye maambukizi watengwe kwenye vituo vya tiba Karantini itakuwa haina maana yoyote. Karantini iendane na kupima raia wote walioko kwenye karantiniChama kikuu cha upinzani Chadema kimeitaka serikali kuliweka katika karantini jiji la Dar es salaam ili kukabiliana na maambukizi ya Covid 19.
Chadema wameshauri kwa kuwa Dar ndiyo yenye wagonjwa wengi basi wakazi wake wasitoke nje ya Jiji wala wageni kutoka mikoani na duniani wasiruhusiwe kuingia jijini.
Source Tanzania Daima
Nashauri watu wasiokuwa na ajira rasmi warudishwe mikoani, ili kupunguza msongamano wa watu
Wapelekwe Tanga