CHADEMA yatambulisha sare mpya ya Chama nchini Marekani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Joseph Mbilinyi, Ametambulisha sare mpya za Chama hicho Nchini Marekani.

Taarifa zinadokeza kwamba Mzigo huo mpya wa Chadema wenye nembo ya STRONGER TOGETHER umetengenezwa Nchi humo kwa quality za Kinyamwezi, Unaambiwa hata ukifulia sabuni duni za Kibongo hazipauki

Zaidi angalia hapa


Mungu Ibariki Chadema
 
Tumeziona hata magari wameyawekea nembo hiyo isiyo na vidole iliyokuwa inawakilisha 'Illuminate' lakini wamekuja na mtindo mwingine fiche unaowakilisha namba '666 (6*3=18)'=9! au '999' (9*3=27)=9!. Kuna siri gani ya CDM na namba tisa? Erythrocyte ?
 
Alisemwa sana Mbowe kuwa chama amekigeuza mradi..kumbe wahujumu wa chama wamebaki ndani!
 
Freeman Aikaeli Mbowe ndie alikua mpiga picha hapo na ndio mwenye pendekezo la nembo za slogan ya t shirts hizo 🐒
 
Mkuu huo uzi mpya ni noma, unaambiwa unaweza kuingia nao hata club
Sasa uzi wa kuingilia klabu si ndio umedharaulika nilijua kanisani au msikitini na ukishauzwa tunataka hesabu mezani kama tone tone!
 
Biashara kama Biashara nyingine jezi ya bongo inatambulishswa Marekani

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…