Pre GE2025 CHADEMA yatangaza maandamano majiji matatu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kwa taarifa yako ukienda mahali ukakuta gharama za maisha ziko chini, hilo eneo ondoa haraka sana maana ni umasikini mtupu. Mfano double room za kupanga hapa dar ni 200,000@ lakini huko mikoani hiyo hela unapata self ya room tatu tena yenye private gate. Lakini mzunguko wa fedha Dar ni wa kutosha, huko mikoani ni majanga matupu.
 
Naishauri CCM iratibu haya maandamano mengine ya chama kinachojifia kama walivyoratibu maandamano ya Dar
 
Sikuwai ona umuhimu wa maandamano, ila jinsi mambo yanavyokwenda kwa sasa hapa nchini mfano Mgao wa umeme, kupanda kwa kasi kwa gharama za maisha nakubaliana na maandamano kwa % 100
 
Double room kwa Dar ni Chamazi au Buza?
Dada wangu wa kazi nimempangia kwa 400,000/- Kijitonyama.
 
Serikali inapalilia cheche kwakuona hicho wanachofanya CDM ni upuuzi, wakidhani kuwa kwakuwa wanavyombo vya Dola wanaweza wakadhibiti mashinikizo yoyote. Wafahamu maisha yanazidi kuwa magumu sana, na biashara nyingi zinakufa, uwezo wawatu kupata hata mlo mmoja kwa siku ni shida, vijana wengi sana wapo mitaani hawana kazi na leo hii ukiita mkutani wa hadhara kuuliza ni vijana wangapi wameuliwa na polisi kwa ajili ya operation za panya road utafumuka msururu wawazazi ambao wameuliwa vijana wao na asilimia kubwa ya hao vijana ndiyo wanachukuliwa kufanya hamasa za kampeni za ccm kipindi cha uchaguzi. Mimi nishauri chama cha ccm, kikae na vyama wenzake vya siasa kutafuta muafaka wakitaifa, Tunajua mnayo magereza yakuwajaza wapinzani, ila kwasasa hali ya uchumi ni mbaya tukirudi kwenye siasa za mwenda zake tukiwekewa vikwazo tena tumekwisha.
 
Imewahi ongoza Halmashauri na Majiji kibao.

Hata kama mkiongoza kwani nyie ndio mnarahisisha maisha ya watu?
Na majiji hayo na Halmashauri hizo ndiko kuna unafuu wa maisha na watu huko wameendelea kijamii,kielimu,kiuchumi,kiutamaduni na kisiasa.
 
unaongea kama umekula kinyesi
 
Endelea kujidanganye usifanye kazi kwa bidii hao wanaokuambia maandamano wanasubir mpuuz kama ww ujichanganye wakutumie km ngazi ukimaliza uchaguz wanapeleka wake zao na vimada vyao bungeni jielewe nn unafanya
sawa chawa umeeleweka
 
Kule wanapata utatuzi,Sasa kwenye maandamano ya Chadema wanapata nini?

Mlivyoandamana Dar mumepata mlichoandamania? [emoji16][emoji16]

Wapumbavu ndio waliwao
baada ya maandamano tukasikia bei elekezi ya sukari na bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…