Chadema yateua Makatibu wa Kanda, Amani Golugwa na mfungwa Emmanuel Masonga wateuliwa tena

Kanda ya ziwa hamna mbona?
Kanda ya Ziwa (Victoria) kuna utata. Huyu mdada (Mwl) ambaye ni Katibu wa Kanda aliwekwa na kigogo mmoja wa "ngazi za juu" kama "chakula yake" pamoja na kwamba hakubaliki. Akapoteza ndoa na kapoteza kazi yake ya ualimu hapa jijini Mwanza. Sasa, wanachama huku hawamtaki, Kamati Kuu haimtaki ila huyo "kigogo" anang'ang'ania aendelee kuwepo. Ndio maana suala lake limeahirishwa.
 
Uongo hautaweza kuondoa umasikini unaokukabili .
 
Mbowe anaua chama.
 
Atakuwa mboye huyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weweeeeee kaolewe weweee siasa zako za maji takaa hazikusaidiii, ndio maana ulitoa mimbaaa
Don't make a promise you can't fulfill...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…