Chadema yateua Makatibu wa Kanda, Amani Golugwa na mfungwa Emmanuel Masonga wateuliwa tena

Mbona humtaji huyo kigogo?Propaganda mfu haziwezi kuwasaidia huko lumumba!
 
Weweeeeee kaolewe weweee siasa zako za maji takaa hazikusaidiii, ndio maana ulitoa mimbaaa

Don't make a promise you can't fulfill...
Duh! Mbaba kama mimi natoa mimba! Hiyo lazima iwepo kwenye Book Record of Guinness.
 
Kanda ya ziwa wanasema kadem kake hawakataki na yy anataka kawe kenyewe ili wawe wanapiga vizuri!. Ngoja tuone mkaa na mbeba mkaa nani mzito.
 

Mbona maelezo chini yanajitosheleza kwanini usisome? Mtaacha uvivu wa kusoma mpaka lini?
 
Ukiona mwanamke ana nafasi chadema ujue sultani katafuna
 
Mnatunga uongo kwa faida ya nani ?
Hata wewe unalijua hilo,na unajua kwa nini hawakupi nafasi nyeti kwa sababu ni kichwa toka kyela.Yule bogus Mrema hakuingii hata robo kiutendaji,
Eneo la propaganda halikufai too low kwako,wewe ni organization au operations huko kuna mihela mbowe kaweka vibaraka wake wapige vizuri
 
Usiniingize kwenye uzushi wako ili kunitoa kwenye reli ya kugombea ubunge jimbo la Kyela , Kibaraka wa Mwakyembe we !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…