Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Natamani polisi wakiache CHADEMA kiinyooshe ccm wanajisahau mno wanaoona kama hii ni nchi yao pekee yao. Halafu polisi walitakiwa kujua Chadema wanahangaikia maisha tulivu ya wadogo, watoto na wajukuu zao kwa maisha ya baadaye wasijekuta mito, bahari, ardhi imebaki mashimo matupu. Polisi hasa wasio na vyeo wasitumike kwa faida ya wakubwa. Hata kama ni amri wawe na hekima.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema imeingia Nkasi na kufanya Maandamano Makubwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara.
Mkitano huo umehudhuriwa na Umati mkubwa wa Wananchi bila kujali kutekwa na kuuawa!
Makamu Mwenyekiti wa Kanda hiyo Frank Mwakajoka ameongoza Jambo hilo
View attachment 3095961View attachment 3095962View attachment 3095963
Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko PambaNatamani polisi wakiache CHADEMA kiinyooshe ccm wanajisahau mno wanaoona kama hii ni nchi yao pekee yao. Halafu polisi walitakiwa kujua Chadema wanahangaikia maisha tulivu ya wadogo, watoto na wajukuu zao kwa maisha ya baadaye wasijekuta mito, bahari, ardhi imebaki mashimo matupu. Polisi hasa wasio na vyeo wasitumike kwa faida ya wakubwa. Hata kama ni amri wawe na hekima.
Mkuu jiandae na interview achana na siasa za kipumbavuHuko mbunge ni nani huko?
Aya mkuu.Nimekuelewa.Mkuu jiandae na interview achana na siasa za kipumbavu
Katika hao hayupo mbunge?Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema imeingia Nkasi na kufanya Maandamano Makubwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara.
Mkitano huo umehudhuriwa na Umati mkubwa wa Wananchi bila kujali kutekwa na kuuawa!
Makamu Mwenyekiti wa Kanda hiyo Frank Mwakajoka ameongoza Jambo hilo
View attachment 3095961View attachment 3095962View attachment 3095963
Wepi hao?Katika hao hayupo mbunge?
Amandla...
Jipe moyo!Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema imeingia Nkasi na kufanya Maandamano Makubwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara.
Mkitano huo umehudhuriwa na Umati mkubwa wa Wananchi bila kujali kutekwa na kuuawa!
Makamu Mwenyekiti wa Kanda hiyo Frank Mwakajoka ameongoza Jambo hilo
View attachment 3095961View attachment 3095962View attachment 3095963
Mbona mbunge wao hujamtaja?Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema imeingia Nkasi na kufanya Maandamano Makubwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara.
Mkitano huo umehudhuriwa na Umati mkubwa wa Wananchi bila kujali kutekwa na kuuawa!
Makamu Mwenyekiti wa Kanda hiyo Frank Mwakajoka ameongoza Jambo hilo
View attachment 3095961View attachment 3095962View attachment 3095963
Mungu baba Ibariki CHADEMATaarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema imeingia Nkasi na kufanya Maandamano Makubwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara.
Mkitano huo umehudhuriwa na Umati mkubwa wa Wananchi bila kujali kutekwa na kuuawa!
Makamu Mwenyekiti wa Kanda hiyo Frank Mwakajoka ameongoza Jambo hilo
View attachment 3095961View attachment 3095962View attachment 3095963
Kwenye picha. Nilitaka kujua tu kama Mheshimiwa Aida Khenan alikuwepo katika hayo maandamano.Wepi hao?
Safi sana CDM tusonge mbele!Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema imeingia Nkasi na kufanya Maandamano Makubwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara.