K koryo1952 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2023 Posts 948 Reaction score 1,627 Sep 15, 2024 #21 CHADEMA imekuwa homa ya Jiji. Naona wananchi wengi wanaisapiti Chama hiki.
S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Sep 15, 2024 #22 Mbona wasichana wadogo hawaandamaji ni kama walifuata ngoma ya mdundiko
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 15, 2024 #23 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 15, 2024 #24 Fundi Mchundo said: Kwenye picha. Nilitaka kujua tu kama Mheshimiwa Aida Khenan alikuwepo katika hayo maandamano. Amandla... Click to expand... Alikuwepo 🐼
Fundi Mchundo said: Kwenye picha. Nilitaka kujua tu kama Mheshimiwa Aida Khenan alikuwepo katika hayo maandamano. Amandla... Click to expand... Alikuwepo 🐼
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Sep 15, 2024 #25 johnthebaptist said: Alikuwepo 🐼 Click to expand... Ni vyema. Huyo dada anakipigania sana chama chake na watu wa jimbo lake. Natumaini nao wanamuonyesha kuwa wanamthamini. Amandla...
johnthebaptist said: Alikuwepo 🐼 Click to expand... Ni vyema. Huyo dada anakipigania sana chama chake na watu wa jimbo lake. Natumaini nao wanamuonyesha kuwa wanamthamini. Amandla...
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Sep 15, 2024 Thread starter #26 Mshana Jr said: Mungu baba Ibariki CHADEMA Click to expand... Amen