Chadema yaunguruma Dodoma; Operesheni Sangara yapaa!


Asante sana GS! Kwa Sababu wewe uko kwenye site basi tungependa utuhabarishe mambo yanayotokea huko. Na hilo suala la Picha jitahidi sana ili tuweze kuona Hali halisi ya Vijijini.

Asante
 
am tired of this CHADEMA promo in this site.for sure i hate CHEDEMA the same amount of hatred that i hate CCM.Kama ningeweza kumuhamisha ZIITO na SLAA kutoka chadema na nikawatoa kitine,magufuli,olesendeka n.k kutoka ccm.halafu nikawaunganisha.... nadhani kwa mara ya kwanza ningekuwa mshabiki wa siasa za bongo.
 

Mkuu kuhusu Shy ni kweli tunbataka sana kuja kwani tunafahamu kuwa kuna wapiga kura wengi sana huko na isitoshe ahata mwamko wa wakazi wa huko ni mkubwa.Hoja za mvua ni za muhimu kwa sababu kuu mbili.

1. Kukiwa na mawingu mni hatari kwa helkopta hivyo wanaweza kupotea kutua kwenye mikutano husika...Ni rahisi kupotea angani.

2. Kama kuna mvua maana yake huwezi kufanya mikutanao hata kama helkopta imeweza kutua kwani watu hawataweza kushiriki..Kwanini watu wanyeshewe na mvua bure?Sehemu kubwa ya Shy ilikuwa na mvua,hatuwezi kwenda jimbo moja halafu tukaacha majimbo mengine ni upuuzi...huo ndio ukweli Mkuu,hata sisi tunahamu sana ya kuja Shy kuliko unavyodhani..Kama tungekuwa hatutaki kuja Shy wala tusingepoteza gharama za kuja kupima GPS huko na wala tusingeiweka Shy kwenye ratiba kwani sababu za kujitetea zipo nyingi tu..Tafadhali muwe mnatuelewa jamani,chama ni chetu sote,mafanikio ya Shy ndio mafaniko ya CHADEMA kwa ujumla.
 
Yangu macho na masikio katika hili
wtz wachache sana wanafikiwa na kuelimishwa katika nyanja za siasa
jitahidini sana majimboni pengine mabadiliko yatapatikana
 
Notradammus,
Kuna kale kawimbo ka kiswahili: "wenye wivu waji............... naomba ukakasikilize!
 

Bila shaka CCJ ingewafaa sana hawa wapiganaji. Jitahidi, unaweza kuwaunganisha.
 

- Mkuu GS, heshima sana nyumba za tembe ndio utamaduni wetu mkoa wa Dodoma, kwa hiyo sio dalili za umasikini ila ni utamaduni tu na besides sio kazi ya mbunge au serikali kuondoa umasikini wa wananchi, ila ni wajibu wa wananchi wenyewe kujiondoa kwenye umasikini, mimi na wewe hatukuondolewa kwenye umasikini na mbuneg yoyote wala serikali,

- Wananchi wanaishi kwenye nyumba za tembe, lakini wana shule ya msingi na secondari, pamoja na zahanati, tatizo la waalimu sio la mbunge ni la taifa, mnapokwenda huko gorund zero jaribuni kuwa fair and balanced na habari zenu, maana mara kwa mara huwa zinaishia kwuasuta kwenye matokeo ya uchaguzi, huwa mna-raise expectations halafu tunaishia kuambwia kura zimeibiwa si unakumbuka Biharamulo na Busanda. Kumbuka kuna kata nyingi sana katika hili taifa ambazo hazina anything iwe shule wala zahanati, angalaa hawa wanazo.

Respect.


FMEs!
 
Ukombozi umekaribia, na hili halina wa kulipinga kuwa CHADEMA ndo chama mbadala kwa CCM.Tukipe support ya kutosha.
 
Kama kuna maeneo yanayohitajika kufanyiwa kazi ni maeneo ya vijijini maana kule ndiko waliko wapiga kura wengi na wanainch wengi hawana ufahamu wa kupambanua mambo na wamekuwa victims wa siasa za vitisho na kubadilishiwa shahada zao either kwa pesa au magodoro.Please uwekwe mkakati mahsusi wa kuwaelimisha wa wananchi hawa. Wakipata mwamko Wa Chukua Chao Mapema wamekwisha
 
- Bravo Freeman, nimepata habari zako zote huko jimboni maana nilikuwa ninafuatilia sana kwa karibu, you were fair and balanced na pia kuna ustaarabu wa halia ya juu sana umeuonyesha huko, your message was strong na imefika jimbo zima, saafi sana siasa sio ugomvi wala vita, nimesema mara nyingi sana kwamba you deserve more respect kutoka wka hili taifa than you always get kutoka kwetu wananchi!

Respect.


FMEs!
 

Mkuu FMEs,

Kuna mtu amekuibia neno lako ya siri? Siamini kama ni maneno yako hapo.

Ukiguswa lazima pachimbike
 
If that is the case, why not trying CCJ? where Kigogo means mlalhoi anayechagua viongozi wake?
 
Ulitaka aandikeje kama kweli Simba ni bingwa au ulitaka usikie Yanga bingwa kwa vile wewe ni mpenzi wa Yanga tha is the reality
ukombozi umekaribia watanzania tumalizie hii ng'we iliyo baki tuisambaratishe ccm wana CHADEMA NA WATANZANIA KWA UJMLA poleni kwakuondokewa na kamanda mpambanaji balozi wa kwanza umoja wa kimataifa enzi tanzania ikitwa TANGANYIKA NGAIRA, ALIKUWA MBUNGE MTARAJIWA mleba kaskazini kwa tikti ya CHADEMA mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema( r i p) chadema tu pamoja ni mitihani ya mungu
 
Mwenye picha jamani tunaomba mtuwekee tuone jinsi Mbowe alivyo vuna watu wengi kuja kumsikiliza.

Wingi wa watu siyo hoja jamaa yangu. Mh. Mrema alikuwa akivuta watu kwa wingi lakini siyo wote wanaompigia kura. Ila nitoe angalizo, Mbowe kumtukana Mzee wa Mtera Chigwiyemisi kuwa ndiye huchora laini ya wizi wa kura ni utovu wa nidhamu kwa wazee. Je, ana uthibitisho kuwa ni mzee huyo ???

Looh !!!!! Kizazi hiki hakina hata chembe ya heshima kwa wazee !!!! Looh !!!!! Salaaaalee, tumekwisha.

Mbowe mwenyewe ana udilifu gani ?? Au tuibue alivyo mwondoa Chacha Wangwe kwa kujua kuwa alikuwa safarini kuja Dar kumuumbua jinsi anavyotafuna chama na rasilimali zake. Aende huko. Siasa kweli ni mchezo mchafu. Hivi kweli tunaweza kuwa na rais kama Mbowe !!!!!!! Looh, nitashangaa sana, maana atakuwa kama yule DJ wa Madagascar.

SWALI:

Kukodi helikopta moja kwa siku moja ni shilingi ngapi za Ki TZ ?? Yote haya hatujiulizi. Msiniambie ni utajiri wa ukoo, hakuna kitu ni fedha chafu ambazo zinatakiwa zirejeshwe baada ya kuingia Ikulu. Wa-TZ kuweni macho msishabikie hatari inayowajia.
 
Mwenye picha jamani tunaomba mtuwekee tuone jinsi Mbowe alivyo vuna watu wengi kuja kumsikiliza.

Nani ??? Mbowe for presidency ??? I say NO. We are not that imature kuchagua sampuli hii bana. UBISHOO mtupu wa kumwiga Mzee Castro kwa kuvaa magwanda ya mgambo. I say NO for that DJ. Elimu......... Form VI na little banking experience na ubunge kidogo. Ah, I say NO.

Ukikasirika kanywe sumu. Mpendekezeni Mbowe muone CHADEMA itakavyoanguka kifo cha mende, I tell you.
 
Chadema wapo makini sana katika siasa za Tanzania hivyo ni vyema wakapewa support kubwa sana
 
sure, chademe oyeeeeeeeeeeeeeee, naasubiria kwa hamu muda ufike niwape kura yangu. mke wangu, watoto wangu, housegeli na wote walioko ndani ya nyumba yangu wote ni chadema tuuuu
 
sure, chademe oyeeeeeeeeeeeeeee, naasubiria kwa hamu muda ufike niwape kura yangu. mke wangu, watoto wangu, housegeli na wote walioko ndani ya nyumba yangu wote ni chadema tuuuu
Kwa mtindo huu tunaweza kufika tunapokusudia kwa mahesabu ya haraka haraka ndani ya nyumba yako kuna kama kura 5 vivyo hivyo kwenye familia yangu watanzania tukienda na trend hii ya kuanzia kwenye familia zetu mwisho tutajaza kibaba
 
Ni Operesheni Sangara ya Chadema?.
CHADEMA sasa kuhesabu miezi ,wiki, sku, saa, dakika, sekunde, kuongoza bunge la jamuhuri ya muungano (TANZANIA) ni baada ya kubainika ya kuwa asilimia 69, ya wanawake waliyo kuwa wakiipigia ccm kura kubadili mtazamo wao na hii ni kutokana na opresheni sangara inayo ongozwa na kamanda mbowe, na kurugenzi zake kama , mrema , chitanda , msafiri, regia mtema , halima mdee, na wengine wengi, kukubalika vilivyo tena kwa usibitisho wa dhahiri, wabunge wa ccm wengi wao kwasasa wanatazama jinsi gani ya kuingia chadema ilikutetea viti vyao, ilala kwa CHADEMA wasema mafisadi hawatapata nafasi kupitia CHADEMA , kazi ni moja kuwaondoa kabisa kwenye ulingo wa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…