Chadema yaunguruma Dodoma; Operesheni Sangara yapaa!


Mkuu napinda bunge la mwaka huu liwe na nguvu na upinzania wa uhakika but sio ule wa kenya kuchapana makonde, i like the sprit of CHADEMA, ili cjui kama itafika au kuzidi 69% unaweza kuzibitisha kwa hilo
 
kamanda musiwe na wasiwasi CHADEMA ni chama chene watu wenye busara na wahakikishia UMMA wa WATANZANIA kuwa CHADEMA, kinaongozwa kwa ni dhamu ya hali ya juu sana na hata kikiingia BUNGENI , kwa 69% nidhamu yake itabaki pale pale kutokana na mfumo madhubuti uliyopo ndani ya chama, tuiunge mkono kwa kuchchangia, mawazo na kushiriki katika harakati zake moja kw amoja , imeanza na nyie ifateni kwa vitendo
 

Ah, wapi !!!!! Mnajipa matumaini mfu, mtafulia tu wewe subiri uone.
 
Ah, wapi !!!!! Mnajipa matumaini mfu, mtafulia tu wewe subiri uone.

Kaka sio kufulia, ingekuwa watazania wanachagua viongozi makini na sio kuchagua chama sina uakika kama cha tawala kingekuwa na wabunge wengi, but mwaka huu WaTZ akili zao zimepevuka watachagua kiongozi na sio chama.
 
kweli kamanda TUNAPASWA KUWA NA VIONGOZI STRING NASIYO VIONGOZI WA KUSINZIA BUNGENI NA WASIYO KUWA NA HOJA ZA MSINGI, BALI FITNA ,CHUKI, NA KUENDELEZA MIFARAKANO ISIYO YA LAZIMA
 

kama tembe ni tamaduni zenu,ni kwanini diwani asiheshimu tamaduni hizo?kwanini yeye aishi kwenye nyumba nzuri?na kama je nyie mkiendahuko huwa maishi kwenye nyumba hizo? naomba unisome vizur tafadhali hakuna sehemu yeyote niliyosema kwamba umaskini wao unasababishwa na mbunge,please give me a break....Kuwa na madarasa sio hoja hoja ni kuwa nashule zenye ubora mkuu,hatuzungumzii madarasa..Zahanati yao ina nesi mmoja tu hivi hata hili unalilitetea kweli wewe basi tena,nadhani hatuko kwenye boti moja la kutetea wanyonge...N kweli tulishindwa Busanda na Biharamulo lakini nadhani unakumbuka vizuri mshikemshike uliokuwepo kule...Pamoja na hayo idadi ya kura iliongezeka sana tofauti na miaka ya nyuma....Kifupi ni kuwa kazi hizi zina impact kwetu hata kama wewe huzioni..Pole sana Mkuu,ndi siasa hiyo punguza jazba.
 

Duu,kweli wewe bado uko nyuma.unawaza Mbowe kugombea urais,hayuko huko Mkuu..Poor you uko nchi gani usiyejua hata vinavyoendelea?
 
 
Vitu vingine kuvitetea ni aibu tupu kwa kweli. Yaani nyumba za tembe ni jadi kweli no way ni umaskini tu. Nani asiyependa raha jamani nililala kwenye nyumba ya tembe siku moja huko mvumi na kwa kweli hakuna jadi wala nini ni umaskini tu.

Kujifungulia nyumbani nako ni jadi du! Mimi nadhani kudumisha jadi waendelee tu kula yale matango mwitu.
 

hivi wewe mkuu mbona unapenda kuchota akili za watu?? umetumwa au?? ni wewe wewe uliyeingia juzi juzi hapa katika kikao cha NEC dodoma ukijifanya fundi mitambo na kurusha mambo ya uko live ... hivi umerudi tena na kampeni za Chadema na sangara ya huko dodoma ... na watu na heshima zao humu ndani wakakupa na wanaendelea kukupa tu ma-thanks ya nguvu ... ama kweli serious people at work!!

 
Mzee Kibiongo haupo ktk ulimwengu wa TZ na unaloongea hulielewi. Wenzio walishatoka huko na wanajadili mengine.
 
hongereni saana wana CHADEMA , hivyo ndivyo siasa inafanywa.
Mwacheni Mrema na siasa zake za habari maelezo ama Mtikila na siasa zake za Mahakamani.
Siasa ni kazi ngumu saana, hasa katika hizi nnchi ambazo mwananchi wakawaida anahisi mpinzani ni muasi ama ni muhaini.
 
Mwenye picha jamani tunaomba mtuwekee tuone jinsi Mbowe alivyo vuna watu wengi kuja kumsikiliza.


Nashindwa kusema maana nilikuwapo Dodoma na huo muungurumo sijui ulifunikwa na bakuli gani maana kwa kweli zaidi ya kuyasikia magari ya matangazo sijakutana na hizo shamra shamra halafu mbona Dodoma mjini si ngome ya Cigwiyemisi?
 
Nashindwa kusema maana nilikuwapo Dodoma na huo muungurumo sijui ulifunikwa na bakuli gani maana kwa kweli zaidi ya kuyasikia magari ya matangazo sijakutana na hizo shamra shamra halafu mbona Dodoma mjini si ngome ya Cigwiyemisi?
Bahati mbya ulimwengu wa mawasiliano umetujuza vyema yaliyojiri mkoani humo, ingekuwa zama zile za kiza, tungetegemea analysis za mtu wa kati, lakini kwa sasa kila kitu live kutoka eneo la tukio.....pole kwa kutoziona ngurumo za CHADEMA.
 
 

Hivi huna habari kwamba kuna watu wanahabari za vyama vyote?Wanapata habari mpaka za jikoni.....Ni kweli kabisa ni serious people at work kama wewe mwenyewe ulivyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…