RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Lissu ni mjanja sana, wazo lake la mapingamizi limesababisha wanafiki ACT kufahamika rangi yao halisiCHADEMA na ACT Wazalendo mna matatizo gani? Au ndio hangaisha bwege?
Mkuu vipi Chadema kuwawekea pingamizi ACT katika hizo kata, unalichukuliaje suala hilo?.Lisu ni mjanja sana, wazo lake la mapingamizi limesababisha wanafiki ACT kufahamika rangi yao halisi
Vyama vya upinzani baana, lkn ndio raha ya demokrasia .CHADEMA na ACT Wazalendo mna matatizo gani? Au ndio hangaisha bwege?
Na vipi kuhusu ACT kuwawekea wagombea wote wa Chadema jimbo la Ubungo, Unalichukuliaje suala hilo?Mkuu vipi CDM kuwawekea pingamizi ACT katika hizo kata, unalichukuliaje suala hilo?.
Nachukulia nikushamiri kwa demokrasia mkuu.Na vipi kuhusu ACT kuwawekea wagombea wote wa Chadema jimbo la Ubungo, Unalichukuliaje suala hilo?
Sasa ndugu mbona umeshangaa Chadema kuwawekea pingamizi madiwani wa ACT?Nachukulia nikushamiri kwa demokrasia mkuu.
Sasa hapo wanafiki ni nani, jee mmeshaanza kutibuwana, kawaida yenu upinzani mnashikana na kusukumana wenyewe, na baadaye CCM inapata tambarareLisu ni mjanja sana, wazo lake la mapingamizi limesababisha wanafiki ACT kufahamika rangi yao halisi
Sijashangaa mahala popote kiongozi ndio raha ya demokrasia.Sasa ndugu mbona umeshangaa Chadema kuwawekea pingamizi madiwani wa ACT?
Hakika mkuu.Sioni kosa hapo, hivyo vyama viko huru kufanya maamuzi yao, hata kama vinajiita "vyama makini vya upinzani" haina maana ndio vibebane hata kwenye uozo, viendelee kuwa makini kwa kila kitu.
Zitto awaambie hao wagombea udiwani wake wakajitetee, sio kuwasiliana na Chadema for what?! kama itavyokuwa kwa madiwani wa Chadema Ubungo, msizunguke mbuyu.
Wacheni kulialia, hiyo ndio siasa ya demokrasia.