Pre GE2025 Chadema yazidi kuifungua Tanga, huu hapa ni Mkutano wa Mwakijembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga.

Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii Mikutano ambayo inahutubiwa na Mbowe wanairatibu Wanatanga wenyewe na wanaandaa kila kitu!

Huu ni Mkutano wa Mwakijembe, Mwamba akipiga Spana bila huruma yoyote.

Screenshot_2024-07-02-21-48-02-1.png
Screenshot_2024-07-02-21-47-46-1.png
Screenshot_2024-07-02-21-48-41-1.png
 
Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga.

Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii Mikutano ambayo inahutubiwa na Mbowe wanairatibu Wanatanga wenyewe na wanaandaa kila kitu!

Huu ni Mkutano wa Mwakijembe, Mwamba akipiga Spana bila huruma yoyote.

Tutathibitisha hili kwenye uchaguzi kama kweli tanga imefunguka
 
Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga.

Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii Mikutano ambayo inahutubiwa na Mbowe wanairatibu Wanatanga wenyewe na wanaandaa kila kitu!

Huu ni Mkutano wa Mwakijembe, Mwamba akipiga Spana bila huruma yoyote.

Hao watu tangu wazaliwe hawajaona ndege ikiruka leo ipo kijijini kwao tena karibu tu na macho yao lazima watoke kwa wingi ila kura kwa kitandula na Samia wa CCM
 
Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga.

Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii Mikutano ambayo inahutubiwa na Mbowe wanairatibu Wanatanga wenyewe na wanaandaa kila kitu!

Huu ni Mkutano wa Mwakijembe, Mwamba akipiga Spana bila huruma yoyote.

Tofautisha kati ya Tanga jiji,ambao ni wilaya ya Tanga.Tanga Jiji,CCM,ina nguvu sana.Mkoa wa Tanga una wilaya zake,miongoni mwa hizo wolaya ni Tanga(jiji).Halafu ndio kuna mloa wa Tanga.
 
Hiyo ni wilaya ya mkinga karibia kabisa na generation z hao ni wadigo wa kimwambao ni wajeuri tu wala huwa hawanaga chama. Wameenda tu kumshangaa mbowe.

Sifa kuu ya hili kabila ni kuwa hawababiki na mwenye nacho hata siku moja.

Unaweza kuwa na maisha kazuri na hela zako bado akakudharau akakuona si lolote.
 
Back
Top Bottom