Elections 2010 Chadema yazoa madiwani Ubungo

TGS D

Senior Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
114
Reaction score
13
Chama cha Demokrasia na Maendeleo mpaka sasa kimeshapata madiwani 9 kati ya 14. Viti 5 bado havijatangazwa lakini inategemewa kuchukua vingi zaidi kati ya hivyo vitano.
 
Ni viti zaidi ya 9 mpaka jana usiku,ila nadhani tutazidi kukomba viti zaidi
mapinduzi zaidi
 
Yaani tumemaliza kuwanyoa CCM nywele za kichwani, hatuishii hapa tunaendelea mpaka puani .*/./*x*x*.../<>> zao! Safari hii, watakoma!:smile-big:
 
ukianika sidiria huwezi kuanua gagulo...
hizi ni salam kwa Mwizi Keenja.
Alituzurumu 2005 watu na akili zetu tukatoka jumba la maendeleo urafiki machozi yanatutoka kwa uchungu.
Lakini tulishikana mikono na kukubaliana kuwa 2010 ama zao ama zetu.

In Allah we trust.
 
Anakataa ugariiii,anakataa ugariii,unakataa ugariiii,ugari,ugari,kama hujui ugari kamwulize chadema

mapinduziii daimaaaa
 

Ha ha ha ha mkuu umeua
 
kuna mwanajamii alitabiri kifo cha CCM nadhani muda umefika tunaanza kuiondoa taratibu:tape:
 
Mkuu, ungetumia akili kidogo tu ungeona jinsi gani ambavyo sio rahisi kwa Mnyika kuwa aliibiwa ushindi mwaka 2005. Kama ingekuwa iliwezekana wakati ule, sioni jinsi ambavyo isingewezekana wakati huu, hasa ukizingatia kuwa, kuna watu wasio na aibu zaidi wakati huu kuliko wakati ule.

Tukubali ukweli tu. Tumeshirikiana kuipa CHADEMA ushindi, na turidhike na hilo. Tusherehekee pamoja. Sababu za ushindi huu zinajulikana bayana. CHADEMA peke yake isingeweza kushinda kama baadhi ya CCM wasingeipa kura zao pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…