Mambo ni motoo, safari hii hakuna kujiengua safi. Sasa na nyie CHADEMA mbadilike, watu wanatumia mbinu zilezile na mnadakwa vile vile, inabidi mnyumbulike na kuja na mbinu mpya za kujibu mapigo.
====
Your browser is not able to display this video.
John Mrema kwenye kikao chake na waandishi wa habari juu ya sakata la wagombea kuenguliwa ameyasema haya:
"Chama kitakaa vikao vyake hivi karibuni baada ya zoezi la kuengua na kutengua na tutao taarifa rasmi, nnachoweka kusema mpaka sasa, kujitoa siyo sehemu ya msamiati wetu kwenye uchaguzi huu, sababu hata tukishinda kwenye kijiji kimoja ni 100%"
"Nchini hatuna kitongoji wala mtaa hata kimoja tunachoongoza tangu 2019, kwahiyo kushinda mtaa hata mmoja ni ushindi wa 100%, ndio maana msamiati wa kujitoa haupo. Na tuna taarifa hao ambao hawajabandika majina ya wagombea wanasikilizia CHADEMA itachukua hatua gani kwa wale ambao wameshaengua watu wetu tayari, hivyo watajipanga hapo kulingana na tutakavyolipokea na kuwajibu.
"Sasa wasituchokoze na kutufikisha huko, na wanachama wetu tumewaelekeza kuchukua hatua watakazoona zinafaa kulingana na mazingira yao."