Uchaguzi 2020 Chadema: Zoezi la kutia nia kugombea nafasi ya Rais wa JMT limefungwa rasmi tutatoa orodha ya walioandika barua

Uchaguzi 2020 Chadema: Zoezi la kutia nia kugombea nafasi ya Rais wa JMT limefungwa rasmi tutatoa orodha ya walioandika barua

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Afisa habari wa Chadema mh Makene amesema zoezi la kutia nia kugombea urais wa JMT kupitia chama hicho limefungwa rasmi.

Tarehe ya mwisho ilikuwa ni 15 June, 2020 saa 10:00 jioni.
Orodha ya walioandika barua itatolewa na utaratibu unaofuta mtaelexwa.

Freeman Mbowe amekuwa mwanachadema wa mwisho kutia nia na amewashtua wengi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom