johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mchungaji Msigwa ameshtushwa sana!Walioshituka ni CCM,CHADEMA wanafurahia demokrasia ndani ya chama.
CCM wanaruhusu mtu mwingine kugombea? Hivi membe ilikuaje?Mchungaji Msigwa ameshtushwa sana!
Chadema ni ukoo wa kambale Mwenyekiti na makamu wake wote wanautamani urais!CCM wanaruhusu mtu mwingine kugombea? Hivi membe ilikuaje?
Si ndio maana ya demokrasia? Ingekua ccm lissu si angefutwa uana chama?Chadema ni ukoo wa kambale Mwenyekiti na makamu wake wote wanautamani urais!
Ingekua ccm sawa. Tena wenda angepewa na kesi ya uhujumu uchumi.Lissu akae mguu sawa muda wowote kitanuka, atatimuliwa kama mbwa koko mla mayai.
Hawana lolote wanatafuta pa kutokea baada ya kujua hawapati hata udiwani.Chadema ni ukoo wa kambale Mwenyekiti na makamu wake wote wanautamani urais!
Umeongea naye? Nawe unakuwa wa hovyo kama Pascal Mayalla! Au ndiye wewe?Mchungaji Msigwa ameshtushwa sana!