Chadrack boka: Kiwango changu bado kabisa kufikia 100%

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji2788] “Mashabiki wameona kazi yangu kuwa ni nzuri, ila mimi naujua ubora wangu hivyo nikipata mechi kama tano nitakuwa kwenye uwezo mkubwa zaidi ya huu wa sasa. Kitu kinachonifanya nijitume sana ni ubora wa kikosi na pia mzuka wa mashabiki ambao wakati wote wako nyuma yetu kuhakikisha wanatupa morali ili tusonge mbele na kuwapa furaha,” Chadrack Boka, beki mpya wa Yanga [via Mwananchi]
 
Kuna jitu litapasuka siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…