Mwenye kujua hili tatizo anisaidie tafadhali,mtoto wangu wa miaka 15 ana tatizo kila anapoamka toka usingizini lazima apige chafya 4 mpaka 5,mimi hili naliona ni tatizo kwani sio hali ya kawaida na kama ni tatizo dawa yake ni nini?

Je tatizo hili ni tangu azaliwe au limeanza lini? hata hivyo kupiga chafya ni njia ya kusafisha njia ya mfumo wa hewa hivyo chochote kisichotakiwa kwenye njia ya hewa mfano uchafu kama kukiwa na vumbi,nguo chafu sana nk.na hii ni kutokana na ukweli kwamba ni rahisi kuwa na bacteria au virus kwenye mazingira machafu.
lakini pia kuona mwanga mkali kwa ghafla watu wengine hupiga chafu na hii huitwa photo sneeze reflex.
kumaliza tatizo kutategemea nini hasa source ila kwa ujumla sehemu mtoto analala pawe na mazingira safi,na kama huenda ni kwa ajili ya mwanga mkali jaribu kuzima taa asubuhii kabla hajaamuka uone kama ndo source.