Acha kuzuga baada ya kukufungua macho unajifanya kuzuga. Siyo kila neno la kiingereza analoandika
Nyani Ngabu au member yeyote wa JF ulitunze kuonyesha familia.
Utakuja kuumbuka na kuonekana umechizi. Cha kuweza kukusaidia tafuta Kamusi kubwa.
Inabidi unishukuru sana pia acha kuzuga au kupoteza lengo la ulichoandika mimi mtoto wa mjini naelewa mtu akitaka kuzuga