Elections 2010 Chagua CCM, chagua Kikwete

Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Posts
6,933
Reaction score
1,511
“Hapa sana sana ni Veta ambayo tuliahidi, lakini hatukuitekeleza. Sasa tutajenga katika miaka mitano ijayo, tutaweka umeme. Vijiji 13 vya jirani vitapata maji kwa kuwa Sh428 milioni zimetengwa kwa ajili hiyo. Kuhusu elimu tunategemea mwaka kesho (2011), kila mtoto awe na kitabu chake,” alisema Kikwete bila kufafanua sababu za kutojengwa kwa Veta.
 
1.Kampeni za maji taka!
 
Kikwete is very genius anasema hivyo kwa kuwa anajua watanzania wanadanganyika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…