Tanzania tumeendelea. Wakati Kikwete anachukua nchi, shule za sekondari zilikuwa chache, kwa sasa ni nyingi... kila kata tanzania ina shule ya Sekondari. Hizo shule zisingekuwepo, hawa wangekuwa nje ya shule.
View attachment 13633
Pichani wanafunzi katika moja ya shule za kata wakipata matirio darasani. Haya ni maendeleo makubwa; mwasemaje?:lol:
Mheshimiwa hii umeleta si mahala pake humu hakuna atakayeiona hata ikionekana basi wadhungu wanasema tuna ignore kwa maana nyingine tunaipotezea. Jaribu kuileta kinyume chake uone watu watakavyochangamka. Hii ndo JF bwana kama huijui.