masterbaster
Member
- Feb 4, 2016
- 80
- 63
p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio upuuzi nisioutaka.Wabongo bado tuna tatizo la copywriting skills..unaweka bidhaa alafu huweki bei,mtu akiuliza bei ya bidhaa jibu njoo inbox
Ndugu..unapouza bidhaa mtandaoni,kummbuka mteja hanunui picha wala bidhaa yako Bali ananunua ofa (thamani) iliyo nyuma ya hiko unachokiuza
Turudi kwenye mada..hiyo headphone unauza bei gani mkuu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tatizo watanzania ni wagumu wa kujifunza vitu vipya na hapa ndy wakenya wanatuoiga bao kwenye secta za biashara mtandao..Huu ndio upuuzi nisioutaka.
Niende pm kufanya nini?.
Kulikoni kuingia kichochoroni bora ninyooshe dukani.
Mtu anauza badala ya kuwavutia watu kwa kuandika bei..anataka afuatwe pm!!!
Ndio maana biashara nyingi zinafia njiani kwa upuuzi huu.
SureTatizo watanzania ni wagumu wa kujifunza vitu vipya na hapa ndy wakenya wanatuoiga bao kwenye secta za biashara mtandao..
Mtu anaweka bidhaa bila bei,mteja unauliza bei ya hiyo bidhaa anakujibu njoo pm..kumbe angetaja bei yake pale angewapata hata ambao walikuwa wapitaji tu
We umeshajichanganya , acha kuchekesha umati mkuuWazee mue walewa basi nimeendaika habari ya inbox au Pm? Nimesema anetaka auliza ki2 atajibiwa hapa hapa na Bei itawekwa baada ya picha zote kumaliza kuupload
Wengi wanachoofia ule ushindani, anaona akiweka bei basi mwingine ataona uenda yupo karibu yake anaweza kushusha..... sasa unaweka Tangazo alafu bei inbox kwanini na Bidhaa asiseme UKITAKA KU9NA BIDHAA ZANGU NJOO INBOXWabongo bado tuna tatizo la copywriting skills..unaweka bidhaa alafu huweki bei,mtu akiuliza bei ya bidhaa jibu njoo inbox
Ndugu..unapouza bidhaa mtandaoni,kummbuka mteja hanunui picha wala bidhaa yako Bali ananunua ofa (thamani) iliyo nyuma ya hiko unachokiuza
Turudi kwenye mada..hiyo headphone unauza bei gani mkuu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Vacuum cleaner sh.Tsh.220,000/=
180k