Chagua jambo moja kati ya haya yafuatayo.

Chagua jambo moja kati ya haya yafuatayo.

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
23,382
Reaction score
29,639
Ipi bora kufungwa jela mwaka mmoja au kuolewa/kuoa ex wako ?


Mimi binafsi bora nirudiane na ex, shida itakuja ex yupi atanifaa

Wewe je ?

Upendo ni tiba.
 
niolewe na x wangu aisee, hata hivyo itakuwa nshamjua na madhaifu yake

jela pasikie tu mkuu Cepha acha utani
 
kwan Kuoa au kuolewa na X wako kuna dhambi?
mbona wabongo bado mna imani za kiprimitive namna hii?
 
kwan Kuoa au kuolewa na X wako kuna dhambi?
mbona wabongo bado mna imani za kiprimitive namna hii?
kwa nini unatutukana mkuu? wewe chagua lako tu usilete longo longo
unapenda lipi maana bado hujasema uko upande upi
 
hakika umetutusi kabisa, primitive naona ndo tusi kubwa kuliko yale mengine

mzima lakini?
Lugha za wastaafu hizo ambao baba jeska alisemwa wanawashwa.

Zizoee tu [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Upendo ni tiba.
 
Dahh..!!

Hivi ni lazima kuanzisha sredi!!??
 
Back
Top Bottom