DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Inategemea ntu na ntu.Unaweza kwenda jela na ukaolewa huko huko bila harusi
una utani my blood brotherKwenda jelaa.....
kwa nini unatutukana mkuu? wewe chagua lako tu usilete longo longokwan Kuoa au kuolewa na X wako kuna dhambi?
mbona wabongo bado mna imani za kiprimitive namna hii?
kuitwa primitive ni tusi?kwa nini unatutukana mkuu? wewe chagua lako tu usilete longo longo
unapenda lipi maana bado hujasema uko upande upi
hakika umetutusi kabisa, primitive naona ndo tusi kubwa kuliko yale menginekuitwa primitive ni tusi?
basi niwatake radhi kwa kuwatusi mkuuhakika umetutusi kabisa, primitive naona ndo tusi kubwa kuliko yale mengine
mzima lakini?
asante mkuu mie nimepokea kabisabasi niwatake radhi kwa kuwatusi mkuu
Lugha za wastaafu hizo ambao baba jeska alisemwa wanawashwa.hakika umetutusi kabisa, primitive naona ndo tusi kubwa kuliko yale mengine
mzima lakini?
Sio lazimaDahh..!!
Hivi ni lazima kuanzisha sredi!!??