Chagua jibu sahihi kuhusiana na katiba mpya

Chagua jibu sahihi kuhusiana na katiba mpya

Salama salimini

Senior Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
191
Reaction score
38
Wakuu; Nyie mnasemaje juu ya hili la katiba?

A) Tupige NDIYO kama wanavyodai CCM

B) Tupige HAPANA kama wanavyodai maaskofu wetu.

C) Tusipige kabisa kama wanavyodai UKAWA.

Yaani jibu vile unavyoona sahihi.
Ikiwezekana tushawishi nasi.
 
Ndio maana Kardinali Pengo akashauri wananchi waachiwe wenyewe waamue ,kuliko kuingilia haki yao ya kikatiba,cha msingi hao ccm,maaskofu na ukawa,wanyamaze watuachie wenyewe tuamue
 
Nadhani kupiga hapana au ndiyo ni utashi wa mtu na si kwa kuwa nani kaesma nini bali ww umeilewa vipi katiba! Hata hivyo binafsi kwa utashi wangu mizengwe ya bungeni najiuliza kwa nini nguvu kubwa ya kupitisha katiba ilitumika na hadi kupigisha kura wasiokuwepo bungeni, mauno yalivyokatwa baada ya kuipitissha kwa mbinde sina imani nayo katu! Kuna namna iliyojificha.
 
Ndio maana Kardinali Pengo akashauri wananchi waachiwe wenyewe waamue ,kuliko kuingilia haki yao ya kikatiba,cha msingi hao ccm,maaskofu na ukawa,wanyamaze watuachie wenyewe tuamue

Mkuu;
Tunaomba utushawishi juu ya kile unachoona sahihi.
Hakuna ataemwingilia mwenzake ju ya upigaji kura.
Ndo maana ikawa ya siri.
Kushawishi ndo kampeni zenyewe.
ki ukweli ni kwamba utake usitake kati ya hayo majibu matatu ni lazima utalifanyia kazi mojawapo.
 
naona sasa jf imechukua nafasi ya bvr...

nitarudi kuchagua hapana...
 
Back
Top Bottom