Salama salimini
Senior Member
- Dec 2, 2013
- 191
- 38
Wakuu; Nyie mnasemaje juu ya hili la katiba?
A) Tupige NDIYO kama wanavyodai CCM
B) Tupige HAPANA kama wanavyodai maaskofu wetu.
C) Tusipige kabisa kama wanavyodai UKAWA.
Yaani jibu vile unavyoona sahihi.
Ikiwezekana tushawishi nasi.
Ndio maana Kardinali Pengo akashauri wananchi waachiwe wenyewe waamue ,kuliko kuingilia haki yao ya kikatiba,cha msingi hao ccm,maaskofu na ukawa,wanyamaze watuachie wenyewe tuamue
sishwawishiki mniache nisake noti
Whatever comes on the way.........!