Ilikua jumamosi jioni kijijini Mandi, jua la saa kumi na moja likizama. MZEE MASHASHI amesimamia mkongojo wake akitazama shamba pamoja na mwanae ROBERT mwenye urefu futi 6, ngozi nyeusi huku vivuli vyao vikiangaza kama nguzo ardhini kwa urefu vilivyokua nao
“yani huu udongo unafaa sana kufyatulia tofali mzee” alisema ROBERT
“tofali?, yani na zama tulizopo bado unataka ufyatue tofali?” aliuliza MZEE MASHASHI
“kumbe we kijana hata hujui dunia inataka nini?” aliendelea MZEE MASHASHI
“aah mzee, dunia inataka pesa bhana hapo tuna….” Kabla ROBERT hajamalizia
“mwanangu si swala la pesa hilo atii!, kukata miti kwa ajili ya shughuli zingine ni matumizi mabaya ya ardhi” alisema MZEE MASHASHI
“mara zote kata mti panda mti, epuka shughuli za kukata miti kwa ajili ya kutunza mazingira…maana ukiyaharibu yatakucost zaidi ya pesa, yatacost MAISHA yako na ya uwapendao”
Kwahiyo tukiitunza miti:-
· Tutaongeza hewa safi (oxygen) na kuondoa hewa chafu (carbondioxide), tafiti zinaonesha kua heka moja ya miti iliyokomaa inasambaza hewa safi kwa takribani watu 18 ndani ya mwaka
· Tutazuia mmomonyoko wa udongo, yaani ukipanda miti udongo hujishkiza pamoja (hold in place) = tutapata ardhi ya kufanyia shughuli nyingine za kijamii ama kiuchumi
· Tutatengeneza fursa za kiuchumi, kupitia matunda tutakula, kupitia mizizi tutatibiwa na kupitia majani ya miti tutapata vivuli na mbolea pia
TUTUNZE MAZINGIRA KWA FAIDA YA KIZAZI CHETU NA KIJACHO NA TUISHI MAISHA MAREFU

Upvote
2