Chagua mchepuko hapa!

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Kama ungepewa nafasi ya kuchagua mchepuko Hapa JF ungemchagua nani?

Tukianza na Mimi Huyu bibi Kasie a.k.a Kasinde angehusika😎😎
 
Principle moja ya kuchepuka lazma uchepuke na aliyemzd wa njia kuu... Either kufedha, au ni hb au ile cfa nyngne icyotajwa mbele za watoto
 
Principle moja ya kuchepuka lazma uchepuke na aliyemzd wa njia kuu... Either kufedha, au ni hb au ile cfa nyngne icyotajwa mbele za watoto
Sasa utajuaje kwa kumuangalia tu lazima tumuweke ndani ya test tube kwanza.
 
Unamoyo mkuu mana mnaweza kuwa kwenye mgegedo akakwambia
Bashite oyeeeeeee!
Mana hakawiagi huyo.
Hahahaaaaa. Mzee naona una uzoefu wa kutosha. Mwachie tu jamaa nae achepuke
 
Aah wewe nimeshamchagua makonda kama mchepuko wangu. Goodnite
Kwahiyo upo tayari kutoa ofa watu wachangamkie fursa? Mana wengine weshanusa harufu ya hiyo avater
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…