Chagua mchepuko hapa!

Nafasi ipo wazi kwangu kama kuna mdada anataka kunichepua karibu sana.
 
Hii Nayo ni thid ya kuanzisha kuna umuhimu Wa kujuana elimu na makuzi yetu
 
Umejibu kama hujapenda mkuu
We umetoa maoni yako na kila mtu ana haki ya kutoa maoni na Mimi huwa naheshimu maoni ya yeyote yule mkuu.
Hakuna tatizo mkuu.
 
Ukifika kwenye ngoma, usianze kuuliza, cha kufanya sikiliza mdundo weka madoido yako anza kuukata kiulaini bila bughudha.

Namaanisha.

Mtu kaweka thread yake hapo, we usianze kuuliza cha kufanya fuata maelezo ya mtoa thread, ukiona kuwa huendani nayo skip and move on to next thread, so ukianza kusumbuka kuchambua sijui who, when why, it is westage of time which doesn't bring sense in mind.

Alotoa thread ana maana yake, thus katoaa.

Life is harder when yourself try to be harder.
 
Umenena vyema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…