Chagua moja kulipa tozo au kuhamia Burundi. Nchi haijengwi kwa maneno maneno tu.

Chagua moja kulipa tozo au kuhamia Burundi. Nchi haijengwi kwa maneno maneno tu.

Naona kasia(kama zipo)za tozo zimeongezeka. Nasema kasia kwa sababu sijaona taarifa yeyote humu iliyodadvuliwa kwa hisabati, sijaona! Na nipo tayari kuongozwa/kusahihishwa. Kama zipo ziwekwe kinaganaga.

Naona ukimbari taratibu waanza kupenyeza katika jamii zetu Tuyakatae haya.

Haiwezekani kila kukicha ukisikia wanyonge wakilalama...na sasa kuhusu tozo unasikia maneno yaliiyojaa kimbari wa hali ya juu. Hili ni la kukemewa na sio kupewa vichwa wala miguu kwenye jamii yetu.

KUNA NINI BURUNDI?

Waseme kama wanataka kuvamia Burundi na sio kututupia maneno kama inavyodhihirika. Kama dhamira yao ndio hilo watoe tamko. Haya maneno siyo madogo hata kidogo.....

Chagua moja kulipa tozo au kuhamia Burundi. Nchi haijengwi kwa maneno maneno tu.​



.... Ingependeza Wizara ya Mambo ya Nje ikemee hili na itoe taarifa kama kuna mpango wa kuwahamisha wanaodaiwa 'kutochagua' kulipa tozo na kuchagua BURUNDI. sic

mambo ya kuigiza maadili yanaweza leta madhara-haya ya kuropoka-yasipewe vichwa wala miguu;siasa kali na za kimbari.... zishishike nyika.

Ati maneno maneno. hayo maneno ya kuchagua nchi za watu ni hatari kwa usalama wa Taifa. Afrika sasa hivi ni tete.
 
Back
Top Bottom