Unahitaji kitu gani kwa wakati huu?
1. Food
2. Drinks
3. Sex
4. Money
5.........( ongezea)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabsa apa sijui ata lunch itakuajeHahahaahhahahaahahahahaha
Emphasis sio
Ushakula lakini??
Ushakunywa
Usha do lol
Money money heheheee
Money
Sipangiwi cha kufanya ujue!!!Vyeti ndo vinawajibika???
Pigeni kazi watanzania
Sasa pesa si ndo itanunua hicho chakula na majiIt means ushakula wewe ndomana huwazii chakula au kinywaji hahahaah
Pesa utapeleka wapi lakini??
Mwanamke wewe ujue kutafuta pesa si kazi yako