Chagua mwonekano unaoupenda kwa mwanamke

Wanaume: Kwa mtazamo wako ungependa wanawake waonekaneje?

  • Natural, bila mawigi wala mikorogo & smart

  • Wavaa mawigi na simple makeup!

  • Wavaa mawigi, na mikorogo kwa sana!

Results are only viewable after voting.
Napenda msichana (sio mwanamke) msafi (nasisitiza MSAFIII wa mwili na kauli ).
*anajua kupendeza.
NITARUDI
 
Wigi ni kitu cha kupita tu kama mwanaume kunyoa panki. Mwanamke anaweza kuvaa wigi asubuhi jioni akawa natural ni sawa na nguo au rasta sio kitu cha kudumu kwa mwanadamu
 
Hahahaha!
Umeambiwa uchague sio kutoa maelezo
 
Nataka mwenye tako mbinuko kidogo,awe na hips chokozi na viziwa vya kuvutia(sio maziwa ya kuvaa bra yenye size kubwa).Pia mdomo uwe na shape ya curve
 
kuna mdomo straight?😱😱😱 lol
 
Back
Top Bottom