pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Mnajidanganya tu wote mnaohangaika sio wapiga kuraHali yake si nzuri katika kinyang'anyilo hicho
Kwani nyie ndo mnapiga kura??Masikini Malinzi!!! Hakubaliki kila kona. Akishinda nitaamini uchawi upo.
He is going to win anyway! JF haipigi kura, moreover JF siku hizi ni ya watoto wamejazana humu, wachache ni GTMasikini Malinzi!!! Hakubaliki kila kona. Akishinda nitaamini uchawi upo.