INAUZWA Chagua Sabwoofer unayoipenda

INAUZWA Chagua Sabwoofer unayoipenda

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
366
Reaction score
140
Habari mwana jf; karibu ujipatie subwoofer aina ya boss kuna ya spika 3 pia kuna spika 5 zote ni mpya na zina warrant ya mwaka 1 zote izo zina uzwa bei poa na utaletewa kwa laki 195,000 kila moja karibu uchagua umependa ipi ya Spika 3 au spika 5 sifa zake SPIKA 3, inatumia Bluetooth, flash, memorycard,rimont, USD, Ac/Dc volume 62. SPIKA 5, inatumia Bluetooth, flash, memorycard, rimont, USD, Ac/Dc volume 32. duka lipo kariakoo dar es salaam kama unaitaji nipigie 0677423349 nitakuletea alafu utalipia Asante.
Polish_20200726_124759464.jpg
IMG_20200720_193247.jpg
 
Nahitaji zile spika mbili Ndogo Pacha Moja Ina mixer hapo hapo Ila nyingine Ni spika plane, sijajua zinaitwaje Ila nafkiri utakua unazifaham, Wenye library za kuburn CD huwa wanapenda kuzitumia.. kama unazo unauza Bei gani?
 
Laki 450,000
 
Back
Top Bottom