BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Messi
hapana hao waliokua wanakaa mbele wanasubiri mipira ipigwe wakafunge.Asee achana na hao miamba. Hebu uje utafute hata clip zao nyingi utajua tu hao majamaa waliku Wa hawajimyambafai Bali walikuwa ni miamba kwelikweli. Vitu vingi wanavyofanya wachezaji Wa kileo ni kopi tu za hao majamaa
Kwanini?Kamanda, waswahili hawachelewi kukuambia umeanza kufatilia soka juzi tu.
Dah! Nimemkumbuka Huyo Mwamba wa Argentina akiitwa Roman Riquelme.
Kwanini?
Maradona
Pele
Messi
Gaucho
Watatu hawatoshi
Muondoe andunje/mbilikimo kwenye list then muweke GAUCHO!
mzee hao wakina maradona walicheza soka ambalo hata offside hakuna
hapana hao waliokua wanakaa mbele wanasubiri mipira ipigwe wakafunge.
OkochaMaradona
Pele
Messi
Gaucho
Watatu hawatoshi
Umeua aisee mzee babaYani Gaucho aliedumu miaka mi 3 na kidogo alafu umlinganishe na Messi aliedumu 10 years and something katika ubora wake, na Mwenye mataji/mafanikio mengi zaidi kuliko Gaucho! Wabongo ndio maana huwa tunafeli kila sector...
LEO10Ş 2004-2019 [emoji116]
La Liga: 2004–05, 2005–06, 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16, 2017–18, 2018–19 ametwaa mara 10
Copa del Rey: 2008–09, 2011–12, 2014–15, 2015–16, 2016–17, 2017–18 ametwaa mara 6
Supercopa de España: 2005, 2006, 2009, 2010, 2011, 2013, 2016, 2018 ametwaa mara 8
UEFA Champions League: 2005–06, 2008–09, 2010–11, 2014–15 ametwaa mara 4
UEFA Super Cup: 2009, 2011, 2015 ametwaa mara 3
FIFA Club World Cup: 2009, 2011, 2015 ametwaa mara 3
La Liga Best Player: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2012–13, 2014–15, 2017–18, 2018–19 ameshinda mara 8
La Liga Best Forward: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2012–13, 2014–15, 2015–16 ameshinda mara 7
FIFA Club World Cup Golden Ball: 2009, 2011 ameshinda mara 2
Pichichi Trophy: 2009–10, 2011–12, 2012–13, 2016–17, 2017–18, 2018–19 ameshinda mara 6
GAUCHO 2003-2008 [emoji116]
Winner:
La Liga (2): 2004–05, 2005–06 mara 2
UEFA Champions League: 2005–06 mara 1
Supercopa de España (2): 2005, 2006 mara 2
Ballon d' ore amechukua mara 1 tu
Sasa huyu kweli wa kumfananisha na Messi, tukienda kwenye performances/kuuchezea mpira gaucho wako kafunikwa ile mbaya...ukiniambia kupiga watu kanzu hapo sawa sikubishii.
Aiseeeeeeeee,jipeleke kituo cha polisi wewe mwenyewe!hapana hao waliokua wanakaa mbele wanasubiri mipira ipigwe wakafunge.
Heshima yako mkuu..Yani Gaucho aliedumu miaka mi 3 na kidogo alafu umlinganishe na Messi aliedumu 10 years and something katika ubora wake, na Mwenye mataji/mafanikio mengi zaidi kuliko Gaucho! Wabongo ndio maana huwa tunafeli kila sector...
LEO10Ş 2004-2019 👇
La Liga: 2004–05, 2005–06, 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16, 2017–18, 2018–19 ametwaa mara 10
Copa del Rey: 2008–09, 2011–12, 2014–15, 2015–16, 2016–17, 2017–18 ametwaa mara 6
Supercopa de España: 2005, 2006, 2009, 2010, 2011, 2013, 2016, 2018 ametwaa mara 8
UEFA Champions League: 2005–06, 2008–09, 2010–11, 2014–15 ametwaa mara 4
UEFA Super Cup: 2009, 2011, 2015 ametwaa mara 3
FIFA Club World Cup: 2009, 2011, 2015 ametwaa mara 3
La Liga Best Player: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2012–13, 2014–15, 2017–18, 2018–19 ameshinda mara 8
La Liga Best Forward: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2012–13, 2014–15, 2015–16 ameshinda mara 7
FIFA Club World Cup Golden Ball: 2009, 2011 ameshinda mara 2
Pichichi Trophy: 2009–10, 2011–12, 2012–13, 2016–17, 2017–18, 2018–19 ameshinda mara 6
GAUCHO 2003-2008 👇
Winner:
La Liga (2): 2004–05, 2005–06 mara 2
UEFA Champions League: 2005–06 mara 1
Supercopa de España (2): 2005, 2006 mara 2
Ballon d' ore amechukua mara 1 tu
Sasa huyu kweli wa kumfananisha na Messi, tukienda kwenye performances/kuuchezea mpira gaucho wako kafunikwa ile mbaya...ukiniambia kupiga watu kanzu hapo sawa sikubishii.
Heshima yako mkuu..
Ronaldinho hasimami hata kidogo kwa Messi. yaani hata kidogo
Weekweli inaonekana umeanza kuangalia mpira siku za karibuni kwani wakati gaucho akicheza barca messi alikuwa hayupo barcaPamoja sana kamanda...Tatizo wabongo wako vizuri kwa uropokaji, ila ukimuomba evidence/statistics anajiumauma tu...wabongo wengi hawajui mpira hili ndio tatizo uyanga na usimba unawafanya waongee vitu sivyo kabisa...
Kabla Messi kutua camp now, Barca ilikuwa na hali mbaya sana, na kama wangeendelea kumuacha gaucho pale angewaharibia sana maana ilifikia ashakuwa mzigo tu..yani hajiwezi, kazi kubwa pale alikuwa anaifanya ni ETOO..
Baada ya ujio wa Messi Barca ikaanza kuneemeka na kuwa na mataji kwanzia, UEFA-LA LIGA-COPA DELREY-SUPERCOPA DE ESPANA-FIFA CLUB WORLD CUP
BALLON DE ORE 5 na ya 6 iko njiani...