Chaguo la Msomaji.

Last edited by a moderator:
Amekugeuka je wakati ulisema mwenyewe
utakuwa unalala na skin tight.
Umeona eh? Mwambie basi anapoamua kuwa muongo ajitahidi awe na kumbukumbu?
BTW mandenyi ushapata lunch? Kuna vihela vinaniwasha kwenye wallet yangu na hapa Chagga Bites wana machalari matamu sana....

:coffee::coffee:
:confused2::mwaaah::A S 100:
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kunipa hiyo offer,
napenda umwalike nyumba yako ndogo Kongosho,
mi sitaki ugomvi na akina mjukuu.

Mimi na Amyner ni kitu kimoja, haina maana kulumbana........ Source: Twanga Pepeta

:coffee:
Kuku wangu mwenyewe manati ya nini Amyner? Mie nakusubiri urusi bandani nakunyonyoa manyoya nakukula kwa raha zangu.:A S 100:

hahaha naenda kugombana na wewe kwenye PM.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kunipa hiyo offer,
napenda umwalike nyumba yako ndogo Kongosho,
mi sitaki ugomvi na akina mjukuu.
Hahahaha........... Kongosho siyo nyumba ndogo yangu bali asali yangu.

Ye anatoka kwa mmewe nami natoka kwa mai waifu, tunaunganisha vikojoleo vyetu afu kila mtu anakirudisha kwa spouse wake. Yaani tunafanya kama vile kunywa bia.... responsibly. (Dont practise this at home)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…