Chaguo la Msomaji.

Na dedicate hii kwa Neiwa na kwa yeyote yule ambae anaupenda..

Last edited by a moderator:
special dedikeshen goes to @sobhuza popote aliko kwny kifungo cha ban. seya - babu seya
 
Spesho dedication kwa platozoon na TANMO:
Angurumapo simba (ie bishanga) mcheza nani?
Anguruma,guruma guruma....
Source: Twanga pepeta.
 
Last edited by a moderator:
Asante sn Smiling Saint kwa huo wimbo wa mwaitege wa kufanyiwa maombi,naomba ongeza na kufunga maana kuna mtu namdai alafu anizingua mbaya! Mie nakudediketia wimbo wa UTAMU WA YESU wa Rose mhando ukufikie popote ulipo swaiba!
 
Last edited by a moderator:
Spesho dedication kwa platozoon na TANMO:
Angurumapo simba (ie bishanga) mcheza nani?
Anguruma,guruma guruma....
Source: Twanga pepeta.

hapo lazima atacheza The secretary, lol
 
Namdediketia mme wangu mpnz Rejao wimbo wa U STILL THE ONE wa Shania Twain,mda huu akiwa amepumzika baada ya kumpa cha asubuhi!
 
Last edited by a moderator:
Halafu niliwaona mida fulani na Asprin wanakatisha posta ya zamani sijui walikuwa wanaenda ile bar ya feri lol
Wamefulia km muuza banana a.k.a Bishanga

Hawakwenda bar walikuwa wanajiita eti watalii wa ndani.

Ila walikuwa wamependeza coz dreva alikuwa Kongosho na Asprin kakunja kishoka macho juujuu kwa wajukuu wanaongoja usafiri
Bibie Kongosho, hebu amka kuna watu wanajiita Erickb52 na Mamndenyi wanatufanyia umbea.....

Kama kawaida ibuka na kibao cha kepten John Komba "Ndugu watanzania, mwalimu katutoka..... hatutamwona tena mwalimu Nyerere".
 
Last edited by a moderator:
baisho I love u bebi....naudediketi kwa yoyote atakaeupenda
 
Namdediketia mme wangu mpnz Rejao wimbo wa U STILL THE ONE wa Shania Twain,mda huu akiwa amepumzika baada ya kumpa cha asubuhi!

Swahiba habari ya uzima wako? Umenisusaje? Hebu pokea kitu Shauri yako (waimbaji siwajui bana)
 
Last edited by a moderator:
Bibie Kongosho, hebu amka kuna watu wanajiita Erickb52 na Mamndenyi wanatufanyia umbea.....

Kama kawaida ibuka na kibao cha kepten John Komba "Ndugu watanzania, mwalimu katutoka..... hatutamwona tena mwalimu Nyerere".
Naona mshamaliza shughuli teh Kongosho hoii na si kawaida yake inaonekana jana ulitoka kivingine musee...sasa jioni ile mlikuwa mnaenda feri kufanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…