Chaguo la Msomaji.

Naona mshamaliza shughuli teh Kongosho hoii na si kawaida yake inaonekana jana ulitoka kivingine musee...sasa jioni ile mlikuwa mnaenda feri kufanyaje?
Tulikuwa tunaenda kupanda ile meli ya kwenda kigamboni. Mimba ya Kongosho ina mahaba na maji ya chumvi, hatuna jinsi.
 
Last edited by a moderator:
Shemu wangu BAGAH pokea kitu cha shangazi by mpoki,na shem wangu Nicas Mtei pokea kitu cha mgambo by Juma Nature.
 
Last edited by a moderator:
Swahiba habari ya uzima wako? Umenisusaje? Hebu pokea kitu Shauri yako (waimbaji siwajui bana)

Swaiba mie mzima on my way to Oldonyo lol! nakutupia wimbo wowote wa Baikoko hahaha!
 
Tulikuwa tunaenda kupanda ile meli ya kwenda kigamboni. Mimba ya Kongosho ina mahaba na maji ya chumvi, hatuna jinsi.
Hahaa ukiona hivyo ujue atazaa samaki Nguva lol au kibua...
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 asante kwa dedikeshen. pokea nawe kitu cha masanja mkandamizaji - hakuna jipya chn ya jua
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 asante kwa dedikeshen. pokea nawe kitu cha masanja mkandamizaji - hakuna jipya chn ya jua
hahahaa kwenye wimbo huo kuna kipengele cha kuitwa then unaitikia JANA NA LEO napapenda sana hapo...
 
Last edited by a moderator:
hahahaa kwenye wimbo huo kuna kipengele cha kuitwa then unaitikia JANA NA LEO napapenda sana hapo...

hata me napapenda kwel make pananikumbusha attendance ya primary cku tcha akisahau kuita majina akaita kesho yake anatwambia aliyekuwepo jana aitike JANA NA LEO. . . .
 
hata me napapenda kwel make pananikumbusha attendance ya primary cku tcha akisahau kuita majina akaita kesho yake anatwambia aliyekuwepo jana aitike JANA NA LEO. . . .

Hahahaa maisha ya zamani yalikuwa very fun kwa kweli...hakuna maisha poa km ya utoto
 
Hehehe!shem ulishanunua boda boda au bado uko na lile guta!
Guta ndo komesha ya wanaosafiri na vitu utadhani wanahama...yan hadi maji litre tano..mihogo...wali...nyama ya mchuzi...Mfuko wa rambo na sandarusi lol
hadi miwa
 
Guta ndo komesha ya wanaosafiri na vitu utadhani wanahama...yan hadi maji litre tano..mihogo...wali...nyama ya mchuzi...Mfuko wa rambo na sandarusi lol
hadi miwa

Hahahaha!shem umeuwaaaa lol!mie cna mizigo nipokee na baskel tu itatosha hahaha!
 
samahani kuna wimbo uliimbwa na Daudi Kabaka ... shemeji shemeji huku mwazima taaa hii ni dedikesheni maalum kwa Nicas Mtei na wengine wenye kuhusika na wimbo huo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…