Hahahaaa SS huo wimbo sio wa Kabakasamahani kuna wimbo uliimbwa na Daudi Kabaka ... shemeji shemeji huku mwazima taaa hii ni dedikesheni maalum kwa Nicas Mtei na wengine wenye kuhusika na wimbo huo
Hahahaaa SS huo wimbo sio wa Kabaka
Hahahaa maisha ya zamani yalikuwa very fun kwa kweli...hakuna maisha poa km ya utoto
kwa hiyo basi wewe unashauri nimpe wimbo gani?
Umeona eehsana tu, bt watoto wa cku hz hawafaidi make wanaanza kindagaten,engl medium hawachez kombolela wala mdako! ce enz zile tulicheza michezo yote!
Thank youu[h=1]Lucky Dube - Together As One[/h]wana chit chat woooooote
[h=1]Lucky Dube - Together As One[/h]wana chit chat woooooote
:busuBAGAH sweetlady Smiling Saint Nicas Mtei MUSSOLIN Cantalisia EMT Kaunga Kipipi BADILI TABIA Judgement beibe nasty charminglady Madame B Yummy
Asprin YNNAH Rejao dubu Kongosho FirstLady1 Mamndenyi The secretary Bishanga
Pokeeni wimbo Mambo Vipi wa Mchizi Mox
BAGAH sweetlady Smiling Saint Nicas Mtei MUSSOLIN Cantalisia EMT Kaunga Kipipi BADILI TABIA Judgement beibe nasty charminglady Madame B Yummy
Asprin YNNAH Rejao dubu Kongosho FirstLady1 Mamndenyi The secretary Bishanga
Pokeeni wimbo Mambo Vipi wa Mchizi Mox
Wee mrembo hebu nitafute nikupe zawadi yako haraka...nakutafuta sn sikupati
Teh, teh.....unanitafutia wapi?....kwa Isha Mashauzi au?