ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
me love you all
nawadedicate wimbo wa Angela Chibalonza( RIP)Ebeneza uwaburudishi
kiafya siko powah leo lakini nawamiss nimepita kuwacheki
Ahsante mama, na mie naomba nikuongezee magnificat
kwa hiyo basi wewe unashauri nimpe wimbo gani?
Zimefika km zilivyo....kasema asante sana
platozoom hiyo dedication imenifanya nifurahi ati......thenki yuu!! Mi nakugea 'Eyes on me' ya kwake Celine Dion.......enjoy the vocal, words and the beats as well!2. Hiki ni kipande cha wimbo wa Mbaraka Mwishehe nadediketi kwa kipipi
Kila apitapo nyumbani kuelekea kazinii
Sura yake ya kijapani na umbo lake lanitia wazimuuu
Nitamtuma mshenga akaulize wazazi wake
Nimempenda msichana akikubali tufunge ndoaa