Bibie Amyner naomba dedikesheni yangu unipie PM ili nikubwenge makwezi kwa utovu wako wa nidhamu.Kaizer mi nakupa "WILL U BE THERE- michael jackson"
ujumbe: tukumbukane kupitia salam club!
Kaizer mi nakupa "WILL U BE THERE- michael jackson"
ujumbe: tukumbukane kupitia salam club!
Hommie hapa uko kikazi au? Afu kumbe leo jumanne?
Hommie hapa uko kikazi au? Afu kumbe leo jumanne?
Hommie hapo umeona au umetazama? Leo ni jumamosi toa jumatano.
Sadly,Thr Secretary kanipiga chini kisa eti sura yangu utafikiri nimegongwa na treni.Hebu ninong'oneze..!?
Btw secretary hajambo?
i dont know this song...but the lyrics are amazing!!
bishanga amezaliwa oshen rodi bana.
Bibie Amyner naomba dedikesheni yangu unipie PM ili nikubwenge makwezi kwa utovu wako wa nidhamu.
Nakudediketia wimbo "Mgeni" wa TOT ya Kapten Komba wa Chama Cha Magamba.
bishanga amezaliwa oshen rodi bana.
Naomba unishushie wimbo huu dedikesheni kwa Lizzy....source mbaraka mwinshehe.....
NACHUNGULIA DIRISHANI OH
NAONA NI MVUA INANYESHA OOH
NAULIZA MPENZI UTARUDI LINI OH
MATESO YANITOKE
NIFURAHI NAWE......
Sadly,Thr Secretary kanipiga chini kisa eti sura yangu utafikiri nimegongwa na treni.
Jana kuna mahali nimemwona erick na mwali,usi panic lakini chunguza.
Nasikia mnaenda saluni moja na Lizzy,ukimwona mpe hai.
Khaa......! Ndo ushakuwa urafiki wa mashaka?Mi dedikesheni yako nairusha hewani kila mtu aisikie "Kigeugeu" wa jaguar..
Afu naomba umwambie na yule naniliu namtumia "NILIPE NISEPE" ..ujumbe utamfikia.
Nimeshakupatia mkuu, siunajua tena mi na Kipipi 'wangu' damu damu