Chaguo la Mungu mwaka 2010 huyu hapa

chaguo la mungu hakuna kwa nchi ambazo hazina demokrasia ya kweli kama Tanzania
 

Bwana mdogo,
Mungu ametupa akili na utashi ili tuwe huru kujichagulia ama kujiamulia mabaya na mazuri. Mungu hatuchagulii viongozi, na kama atatuchagulia basi atatupa viongozi bora na waadilifu. Maneno ya chaguo la mungu ni propaganda za kisiasa ambazo zilitumika 2005 kumweka JK madarakani. Sasa ni wakati wa kupima nini amewafanyia watanzania?, je kuna haja ya kumpa miaka mingine mitano?, kama ni ndiyo ama hapana kwanini?.
 
Mjomba toa sababu za msingi za wapendekeza hao. Jaribu kulinganisha na vigezo vilivyotolewa hapo juu utaona kuwa hawa jamaa zako kimsingi hawatufai. Ila ukweli ni kuwa ni wachache sana kama wapo wanaokidhi sifa tajwa lakini hawa jamaa zako duh, ni nje tu!
 

Bwana mkubwa, jibu liko wazi, wewe tumia sekunde chache tu kumpima kwa kigezo kimoja baada ya kingine, 1-7.
 

Sound Sensible but implausible!!!!
 
Mungu hana mada hapa.. hatutaki cha mungu wala nani... Tuantaka viongozi imara wanaochaguliwa kwa kutumia logic kufwata misimamo yao binafsi na sera.. Mungu kivipi.. Mungu alimchagua Solomon mwenye mademu 3000.. jamaa alikua mzee wa tepe, sijui alitawala saangapi.. F all that...
 
Mbowe kagombea Urais mara ngapi hizo unazoita kadhaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…