Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
CHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana na CHADEMA kuliko wagombea wenzao.
Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi zenu msielezane hizo sera zenu badala yake kutwa kucha mmetingwa na kuitaja taja CHADEMA?
Nyie watu vipi??
Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi zenu msielezane hizo sera zenu badala yake kutwa kucha mmetingwa na kuitaja taja CHADEMA?
Nyie watu vipi??