Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sababu wanajua ACT na CUF hazina issueCHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana na CHADEMA kuliko wagombea wenzao.
Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi zenu msielezane hizo sera zenu badala yake kutwa kucha mmetingwa na kuitaja taja CHADEMA?
Nyie watu vipi??
CHADEMA ni chama tishio kwa umakini wake na uvumilivu wa hali ya juu.CHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana na CHADEMA kuliko wagombea wenzao.
Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi zenu msielezane hizo sera zenu badala yake kutwa kucha mmetingwa na kuitaja taja CHADEMA?
Nyie watu vipi??
CHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana na CHADEMA kuliko wagombea wenzao.
Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi zenu msielezane hizo sera zenu badala yake kutwa kucha mmetingwa na kuitaja taja CHADEMA?
Nyie watu vipi??
Nyambafu kimyaaa tumechoka na matozoWewe una sikio gani kwamba linasikia hotuba za chaguzi zote zinazoendelea huko CCM kwa wakati mmoja?
Na kama na nyinyi Chadema hamuwafuatilii CCM na mambo yao mnayajuaje?
Tunajua CCM wana matatizo yao ndiyo!
Lakini pia tunajua CDM inaishi kwa kutegemea KICk Za CCM!
Ni kama wewe Allen Kilewella unavyoitafuta kick yako kupitia CCM kwa topic hii.
CHADEMA ipo Mioyoni mwaoCHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana na CHADEMA kuliko wagombea wenzao.
Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi zenu msielezane hizo sera zenu badala yake kutwa kucha mmetingwa na kuitaja taja CHADEMA?
Nyie watu vipi??