Pre GE2025 Chaguzi za CHADEMA zaingiliwa na rushwa kama za CCM

Pre GE2025 Chaguzi za CHADEMA zaingiliwa na rushwa kama za CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Sasa wananchi tukimbilie chama gani?

20240503_093649.jpg

View: https://twitter.com/Tanzaniawall/status/1786251731120058804?s=19
 
Kwani aliyepeleka hizo hela ni mbowe? Huyo mama Abdul aliyetajwa kwanini yeye asitajwe na hao jambo Tv? Je wamesimamia maoni ya Lissu au ni maoni ya Jambo Tv?
 
Ndiyo maana huwa nawambia wananchi wasiendeshwe sana na maneno ya wanasiasa.

Kama CHADEMA wanagawa rushwa ili kupata uongozi, ni kwa namna gani wataweza kuikosoa Serikali ya CCM kwenye mambo ya rushwa?
 
JF wataifuta hii ila wajue Mungu anaona na kesha ona
 
Ndiyo maana huwa nawambia wananchi wasiendeshwe sana na maneno ya wanasiasa.

Kama CHADEMA wanagawa rushwa ili kupata uongozi, ni kwa namna gani wataweza kuikosoa Serikali ya CCM kwenye mambo ya rushwa?

..anayehonga ni Mama Abduli.

..Na anatumia fedha za umma.

..suluhisho ni Katiba Mpya itakayozuia upuuzi wa aina hiyo.
 
Hamkani si shwari tena.

..hili ni tatizo baya sana.

..hatuwezi kuwa na siasa za aina hiyo.

..tutasababisha wananchi wakose imani na mifumo yetu ya uchaguzi.

..Ni hatari kwa usalama wa nchi kama wananchi watakuwa imani na mfumo wa uchaguzi wa viongozi.
 
Wanasiasa wote lao moja, usije ukawaamini hata sekunde moja kwa kuhadaika na namna mishipa inavyowatoka wakihutubia majukwaani
 
..anayehonga ni Mama Abduli.

..Na anatumia fedha za umma.

..suluhisho ni Katiba Mpya itakayozuia upuuzi wa aina hiyo.
Mama Abdul wako wengi. Mtaje kwa jina lake la NIDA
 
Kwani aliyepeleka hizo hela ni mbowe? Huyo mama Abdul aliyetajwa kwanini yeye asitajwe na hao jambo Tv? Je wamesimamia maoni ya Lissu au ni maoni ya Jambo Tv?
Lete video tuone ametajwa wapi mama Abdul
 
Uchaguzi ndani ya Chadema ni sawa na kumchinja nyati mbele ya kundi la watu wenye uchu wa nyamapori, kila mtu anammezea mate. CCM na maajenti wake wanatumia kila njia waweze kufanikiwa kuingiza watu wao watakao kidhoofisha chama.
Kama kinaweza kudhoofika basi hiki siyo chama tena anymore bali ni kundi la wajasiriamali wa siasa.
 
Kama kinaweza kudhoofika basi hiki siyo chama tena anymore bali ni kundi la wajasiriamali wa siasa.
Asante kwa kushiriki japo uelewa wako wa kupambanua mambo ni mdogo, nilichoandika na jibu lako havifanani.
 
Akili kisoda
Acha wenye uelewa wadadavue
Nafuu mimi nina akili kisoda inayoweza kuchanganua mambo kuliko wewe unayejua matusi tu uliyorithishwa na mama yako malaya. Hujui baba yako ni nani
 
Back
Top Bottom