Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,768
- 4,038
Leo nimesikia kwanye vyombo vya habari kuwa kweny changuzi za serikali za mitaa, kura zitapigwa kwa kuandika majina ya wagombea, bila kuwepo picha ya mgombea wala chama chake. Je hizi ni mbinu au teknolojia mpya ya kupiga kura au ndo baadhi ya mbinu za ccm kama alivyowahi kusema mzee JMchl?