Kama hali ndo ilivyo, walewasiojua kusoma na kuandika itakuwaje? Kipindi cha njuma walikuwa na watu waliowachagua ili kuwasaidia, na kwa vile karatasi zilikuwa na picha,majina ya wagombea na vyama vyao, ilikuwa raisikumtamba mgombea hata kwa sura, lakini sasa hatakama watawatafuta watu wa kuwasaidia, 100% ya maamuzi yatafanywa na watu hao kwani hata kama watamwabia aandike jina la mgomea wa chama fulani, kwasababu hajui kusoma, yule mtu anaweza kuandika jina tofauti. Tatizo lingene litatokea kwenye spelling za majina watu watakosea sana na kufanya kura zisemekane zimearibika.