Chaguzi za vyuo vikuu ni CHADEMA dhidi ya CCM

Joined
Dec 11, 2010
Posts
3,321
Reaction score
6,330
Upepo wa mabadiliko wenye harufu ya kisiasa umevigubika vyuo vikuu karibu vyote Tanzania.
Kila inapotokea fursa ya uchaguzi wagombea wa nafasi mbalimbali hasa wanao bainika kuwa ni wanachama wa ccm huwa wanakuwa na wakati mgumu kujiuza kuliko wale wa chadema.

Chaguzi nyingi zinazoendelea kwenye vyuo vikuu sasa hazitakuwa na tofauti naza mwaka wa jana. Wanachama, wapenzi na mashabiki wa chadema mara zote husimama kidete kuhakikisha m-ccm ana garagazwa. Hata kwa chaguzi zilizo kwisha fanyika na zinazo tarajiwa kufanyika tayari wagombea ambao ni wafuasi wa chadema wanang'ara na watashinda.

Mfano mwaka jana rais wa udom alikuwa mchadema, rais wa mwenge, raisi wa smucco, rais wa Tengeru na sasa hivi tayari raisi wa Saut ni mchadema. Tusubirie vyuo vingine, ni M4C kwa kwenda mbele.
 

Vijana hakuna kulala CCM washauza Madini yote, tuwakomalie kwenye Uranium, esi na Mafuta..
 
Hivi kumbe bado kuna serikali za wanafunzi?
Haya bana..muendelee kupigania maslahi yenu binafsi na siasa zenu za kuwa partisan ili kupata unafuu wa kushika madaraka...but lengo kuu ni kupata mabinti kirahisi na kupata ahueni ya gharama za malazi,chakula na stationery huku mkiwaacha wenzenu wakichinjiwa baharini.
Huwa hamna wanafunzi partisan damu ni opportunistic hao....chezea wanavyuo wewe!
 
Makamba ndiye aliyekuwa anafadhili sana chaguzi za vyuoni kwa upande wa wagombea wanachama wa ccm.Naona leo wameachwa solemba.
 
Wakuu all the best kwenye chaguzi zenu zaidi nakumbuka mwaka jana nilipokua hapo Udom tulivyompiga china njemba ya Magamba.
 
Makamanda naombeni sana maali popote patakapo tokea changuzi atakama niwa mamonita wa chekechekea chagua CHADEMA.

Mkuu umeua! Isipokuwa majambazi wakichaguana nani aingie ndani kupora na nani abaki nje kulinda "usalama" huo tuwaachie CCM.
 
safi sana, lakini vijana inabidi wajipange kung'amua mapandikizi. magamba hawapati taabu kujivika ngozi ya kondoo wakati ni majibwa-mwitu.
 
CHADEMA M4C mbele kwa mbele,Chuo cha Mwenge mchakato unaendelea,wagombea wote ni wa Chadema,hata tume ya uchaguzi hapo chuoni imeundwa na chadema,wanamagamba wameogopa tsunami.KAAZI KWELIKWELI
 
Truth always wins!


 
CHADEMA M4C mbele kwa mbele,Chuo cha Mwenge mchakato unaendelea,wagombea wote ni wa Chadema,hata tume ya uchaguzi hapo chuoni imeundwa na chadema,wanamagamba wameogopa tsunami.KAAZI KWELIKWELI

Kumbe mwenyekiti wetu wa balaza la wazee la CHADEMA MWENGE na wewe umo? Vipi umechukua fomu? au umewaachia vijana?
 
Habari ndo hiyo ,M4C kama ni wembe ni gilete, hakuna unywele utakao bakia .TUSIMAME TUSEME NO,NO,NO ENOUGH IS ENOUGH kuwa mitaji ya magambaz. ALUTA CONTINUA, MPAKA KIELEWEKE.
 
Kumbe mwenyekiti wetu wa balaza la wazee la CHADEMA MWENGE na wewe umo? Vipi umechukua fomu? au umewaachia vijana?

Kamanda Mwenyekiti baraza la wazee na Katibu wake ni Kutoa fikira pevu na kuhakikisha hao wanachadema waliochukua form wanapewa mawazo chanya na yenye busara kuhakikisha serikali ya wanafunzi inatekeleza matakwa ya wanafunzi na sio ya utawala.Kama kawaida mwenyekiti tume ya uchaguzi hapa Mwenge University-Moshi ni mimi ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la hapa chuoni.Kwa ufupi chuo hiki ni Ngome ya CHADEMA Mkoa mzima wa Kilimanjaro tawi hili liko Active kwa kushiriki harakati mbalimbali.Uchaguzi wa Rais hapa ni tar.4/5/2012.MUNGU IBARIKI CHADEMA NA WABARIKI WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.
 

Rais wa SUA ni CDM na 80% ya Baraza lake la mawaziri ni CDM.Na sasa uchaguzi unakaribia,tuna mwandaa mwanachama mwingine mwaminifu ashike usukani. PEOPLESS....POWERRR
 
Kumbe mwenyekiti wetu wa balaza la wazee la CHADEMA MWENGE na wewe umo? Vipi umechukua fomu? au umewaachia vijana?

Uzee dawa,nimewaachia vijana,nyumba isije yumba mapema,let the youths show their talents.
 

amina kamanda,heshima kwa cdm
 
Kumbe mwenyekiti wetu wa balaza la wazee la CHADEMA MWENGE na wewe umo? Vipi umechukua fomu? au umewaachia vijana?

Uzee dawa,nimewaachia vijana,nyumba isije yumba mapema,let the youths show their talents.
 
Duuh!
M4C ikifika mpaka kwenye uchaguzi wa mamonitor wa chekechekea itakuwa ni zaidi ya Tsunami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…