Kenya 2022 Chaguzi zilizoahirishwa Agosti 9 kufanyika leo

Kenya 2022 Chaguzi zilizoahirishwa Agosti 9 kufanyika leo

Kenya 2022 General Election

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Upigaji kura katika uchaguzi mdogo umeanza baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kusitisha zoezi hilo Agosti 9 kufuatia mkanganyiko wa vifaa vya kupigia kura

Uchaguzi wa Ugavana unaendelea Mombasa na Kakamega, wa Wabunge katika Majimbo ya Kitui Vijijini, Kacheliba, Pokot Kusini na Rongai na wa Wawakilishi wa Kaunti unaendelea katika kaunti za Embakasi Kusini na Nyaki Magharibi

Hata hivyo licha ya Serikali kutangaza leo Kuwa siku ya Mapumziko ili kurahisisha zoezi hilo, idadi ya waliojitokeza inatajwa kuwa ni ndogo kulinganisha na waliojiandikisha

..........................................

Voting in the mini-election has kicked off as polling stations opened at 6am Monday morning.

The 8 elections come after the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) suspended the polls following a mix-up of ballot materials during the August 9th General Election.

Governorship elections are ongoing in Mombasa and Kakamega Counties.

In Mombasa, 641,913 voters will be choosing Governor Johjo's successor among Hassan Omar (UDA) Abdulswamad Nassir (ODM), Daniel Munga Kitsao (Independent), Hezron Awiti (VDP), Said Abdalla (Usawa Kwa Wote), Shafii Makazi (UPIA) and Antony Chitavi (UDP).

Some 844,709 voters in Kakamega will decide on who becomes their next Governor between ANC’s Cleophas Malala, ODM’s Fernandez Baraza, UDP’s Cyrus Jirongo and Samuel Omukoko of MDP party.

Parliamentary elections are also ongoing in Kitui Rural Constituency (Kitui County), Kacheliba Constituency (West Pokot County), Pokot South Constituency (West Pokot County) and Rongai Constituency (Nakuru County).

Elections for Member of County Assembly is ongoing in Kwa Njenga (Embakasi South Constituency - Nairobi County) and Nyaki West (North Imenti Constituency - Meru County).

However there have been concerns of an extensive low voter turnout as only a few voters have showed up at the respective polling stations despite the government announcing a public holiday to allow residents in the aforesaid regions to go and vote.

Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom